Nguu za jadi dondoo na majibu set 2

KSh 100

Set 2 KCSE questions and answers for nguu za jadi. Maswali na majibu ya dondoo. 30 pages. 12 Questions.

Download

Description

1. “Lazima amejiunga na kundi la marafiki wenye pesa wanaojaribu kumpotosha.”
(a) Eleza muktadha wa dondoo.
(alama 4)
i) Huu ni uzungumzi nafsi wa Mangwasha
ii) Mangwasha anarejelea mabadiliko ya Mrima ya kunywa pombe
iii)Hii ni baada ya Mangwasha kukata kauli kuchunguza sababu za
Mrima kuanza kunywa pombe.
iv) Mangwasha yupo nyumbani.
(b) Anayesema maneno haya ni jasiri. Thibitisha kwa hoja tano.
(alama 5)…..

error: Content is protected !!