Mwongozo wa Wema Hauozi
KSh 90
UCHAMBUZI WA SEHEMU YA KWANZA HADI YA NNE KATIKA TAMTHILIA YA WEMA HAUOZI-TIMOTHY AREGE
Description
UCHAMBUZI WA SEHEMU YA KWANZA HADI YA NNE KATIKA TAMTHILIA YA WEMA HAUOZI-TIMOTHY AREGE SEHEMU YA KWANZAOnyesho I Ni alasiri nyumbani Kwa mzee Mabula. Mabula amejilaza kwenye sofa kuukuu. Kelele za watoto wakicheza nje zinamgutusha mabula. Onyesho linapoanza watoto wanaimba wimbo wa watoto (Ukuti) Mabula aliyekasirika anamwita mkewe Mishi wanaanza kuzungumza. Mabula anazungumza kwa ukali. Katika mazungumzo yao inadhihirika kwamba Mabula ametoka kulewa na wenzake. Mazungumzo yao yanaonyesha mabadiliko katika makaribisho aliyokuwa akipata Mabula awali. Mabula anahisi kwamba nyimbo watoto wanaimba wamefunzwa……..

Uncategorized resources
Assessment books
Cbc Primary Schemes of work