mwongozo wa Uteuzi wa chale

KSh 95

uchambuzi wa novela ya Uteuzi wa chale

Download

Description

UFAAFU WA ANWANI.

Je novela hii inaafiki anwani”uteuzi was Chale?” Ama kweli novela hii inasadifu anwani “uteuzi wa Chale” kwa kuwainamhusu mhusika Chale aliyekuwa na vipawa anuwai.Chalealihitajika kuchagua kipawa ambacho angeweza kukiendeleza katikakuihudumia jamii.Chale alikua na kipawa ChaUogeleaji,Utangazaji,Utabibu na hata Ualimu Kwa kuwa alikuwamfafanuzi mzuri wa mambo.Alihitajika kuchagua kipawa kati ya hiviambacho angeweza kukiendeleza Ili kuhudumia jamii.uteuzi huuulimhusu yeye mwenyewe.Alipotaka ushauri kutoka Kwababake,aliambiwa wazi ya kuwa vipawa vyote alivyo navyo nimuhimu ila katika uteuzi wa kipi angetumia……

 

error: Content is protected !!