Mwongozo wa nguu za jadi
KSh 100
Mwongozo wa nguu za jadi
Ufaafu wa anwani
Maudhui
mbinu za lugha
mandhari
wahusika n.k
Description
Jalada, Anwani na Muhtasari
Katika jalada la riwaya ya Nguu za Jadi, kuna vitu anuwai vinavyoonekana, na vinaweza
kuwa na fasiri mbalimbali kwa wasomaji tofauti tofauti. Vitu vilivyopo kwenye mchoro wa jalada hilo ni:
a) Picha ya mwanamume mzee anayemzungumzia mvulana. Kutokana na wanavyoonekana, ni wazi wamefunikwa kwa kiwango cha haja na giza. Hii inaweza kuchukuliwa kama ishara ya mtoto wa kiume ambaye ametanzwa na matatizo,
ambaye hajapewa hadhi anayostahili katika jamii, kama inavyoonekana baadaye kwenye riwaya yenyewe.
b) Mbele ya picha ya mwanamume anayemzungumzia mvulana kuna uwanja usiokuwa na mimea, pengine kutokana na uharibifu wa mazingira, jambo ambalo pia linajitokeza ndani ya riwaya.
c) Mbele huko kuna miti ambayo imefunikwa na giza kiasi, ambayo inaweza kuchukuliwa kuwakilisha matumaini yaliyonyimwa nafasi ya kujitokeza…………conti

Uncategorized resources
Assessment books
Cbc Primary Schemes of work
