Mwongozo Wa Bembea ya Maisha
KSh 100
Full mwongozo wa Bembea ya Maisha. uchambuzi wa kina wa maudhui, wahusika, mbinu za lugha, n.k. 99 pages
Description
Dhamira huelezwa kama lengo au shabaha ya mwandishi wa kazi ya fasihi.
Mwandishi wa tamthilia ya Bembea ya Maisha anadhamiria:
â—Ź kuonyesha masaibu ya pombe katika maisha ya familia
â—Źkuonyesha kuwa ili kujenga jamii mpya, mapinduzi ni muhimu na ni lazimawanajamii wajitolee kupinga tamaduni zisizo na umuhimu wowote katika maisha ya wanajamii
â—Ź kutuonyesha kuwa watoto wa jinsia zote ni sawa na hawafai
â—Źkutenganishwa kwa mila na tamaduni za jamii
â—Ź kutuonyesha kuwa hakuna lililo na mwanzo lisilokuwa na mwisho.

Uncategorized resources
Assessment books
Cbc Primary Schemes of work
