Mapambazuko ya machweo essays and answers

KSh 100

Download essays questions with answers for mapambazuko ya machweo na hadithi nyingine.  65 pages.

Download

Description

a) FADHILA ZA PUNDA
1. Kwa kutaja mifano mitano kutoka kwenye hadithi, Eleza ni kwa nini hadithi hii ikapewa anwani ya “Fadhila za punda’’ (Alama 20).

Majibu:
Anwani Fadhila punda inatokana na methali isemayo, ‘Fadhila za punda
ni mashuzi’, kama ilivyotumiwa katika hadithi yenyewe. Pia huweza kuwa ‘Fadhila za punda ni mateke’. Matumizi ni kwa ambaye hulipa
hisani kwa nuksani, yaani wema kwa uovu. Fadhila za punda, hivyo basi,
ina maana ya matendo mabaya kutoka kwa mtu aliyetendewa mema.
Mada hii inaafiki hadithi…………

error: Content is protected !!