Mapambazuko ya machweo dondoo na majibu

KSh 100

Dondoo questions and answers for mapambazuko ya machweo na hadithi nyingine. 9 questions. 11 pages.

Download

Description

1. Mume wangu, ninapoandika waraka huu, naomba uelewe kuwa wanao wawili wanazidi kuumia. Labda unadhani unayoyafanya ni siri ila usilolijua ni kwamba kila ufanyalo nalifahamu……

a) Fafanua muktadha wa dondoo hili (alama 4)
 Ni maneno ya Bi suluhu katika barua kwa mumewe,
 Yaliyosomwa na Abigael
 Alikuwa kwenye chumba walipopatana Abigael na Bw. Suluhu.
 Barua ilikuwa ya kumjulisha Suluhu kuwa yote aliyoyafanya yalijulikana
b) Tambua umuhimu wa mandhari katika dondoo hili katika kujenga maudhui (alama 4)
 Yachimuza maudhui ya uzinifu- Suluhu anashiriki mapenzi nje ya ndoa na wasichana wadogo.
 Maudhui ya uozo- Bw. Suluhu ana wapenzi wengi na ambao ni wachanga.
Anashiriki mapenzi na Abigael bila kujali kuwa atamwambukiza ugonjwa.
 Kuimbua maudhui ya Unafiki- Suluhu anafikiri anapendwa na Abigael na hata kufikiri kumwoa ilhali Abiga…………..

error: Content is protected !!