Bembea ya maisha maswali ya kujadili
KSh 100
essays questions and answers for Bembea ya maisha. maswali ya kujadili/insha. 16 pages
Description
1. Anwani bembea ya Maisha inaafiki tamthiliya hii. Jadili kwa kutoa mifano mahususi kutoka kwenye Tamthilia. (alama 20)
JIBU:
‘Bembea’ ni kifaa kama vile ubao, kamba au chuma inayoninWinia baina ya chuma au mti ambacho hutumiwa kuchezea aghalabu na watoto.
Bembea huenda juu na chini au mbele na Ili mtoto aweze kucheza na bembea, wakati mwingine kuna anayeisukuma…………….

Uncategorized resources
Assessment books
Cbc Primary Schemes of work
