Bembea ya maisha Dondoo na majibu

KSh 100

Bembea ya maisha Dondoo na majibu.  16 questions and answers for Bembea ya Maisha

Download

Description

1. “…anachukua vidonge vyake na kuvimeza kabla ya kuketi kwenye kochi mpya.”
(a) Weka dondoo hili katika muktadha wake. (alama 4)
 Msemaji-mwandishi
 Mrejelewa-Sara
 Mahali- nyumbani kwa Sara
 Wakati- sara ana maradhi kwa hivyo anameza vidonge
(b) Tambua aina za taswira katika dondoo hili. (alama 2)
 Taswira oni- jinsi abachukua vidonge
(c) Eleza umuhimu wa mandhari ya dondoo hili. (alama 4)
Haya ni mandhari ya nyumbani kwa Sara ambayo yanadhihirisha yafuatayo:
 Malezi-sara anawalea wanawe vyema
 Mapenzi- sara anampenda Yona
 Migogoro- kuna mtafaruku kati ya Yona na Sara.
 Sifa za Yona kama mlevi, mvivu na mbabedume zinakuzwa.
 Tunatanguliziwa mhusika Dina kama rafiki wa dhati wa Sara.
 Utamaduni- Sara anaamini kuwa fimbo ya mzee hurithishwa mtoto wa kwanza
(d) Eleza nafasi ya mwanamke ukijikita katika utamaduni wa jamii ya “Bembea ya Maisha”. (alama 10)
 Mshichana lazima aolewe. Msichana anafaa kuolewa baada ya kutimiza umri wa kubaleghe.
 Msichana apewi nafasi ya kupata elimu. Kizazi cha jana hakikudhamini elimu ya mwanamke. Sara anasema elimu kwa mtoto wa kike ilikuwa bezo.

 Mwanamke anafaa kutii mumewe. Ni utamaduni kwa mke………..

error: Content is protected !!