Mwongozo wa Jahazi la mchongoma Grade 10
KSh 200
Mwongozo kamili wa Tamthilia ya Jahazi la mchongoma. Kitabu teule Cha grade ya 10.
Pages: 31 pages Format: Pdf
Description
Mwongozo kamili wa Tamthilia ya Jahazi la mchongoma. Kitabu teule Cha grade ya 10.
Pages: 31 pages
Format: Pdf
Yaliyomo
1. Maana ya Anwani na Uchanganuzi wa Jalada
2. Muhtasari wa Maonyesho Yote
Onyesho la Kwanza
Onyesho la Pili
Onyesho la Tatu
Onyesho la Nne
Onyesho la Tano
Onyesho la Sita
Onyesho la Saba
3. Nia ya Mwandishi
4. Wahusika na Umuhimu Wao
1. Mulika
2. Rashid
3. Kambale
4. Mbuyu
5. Azizi
5. Maudhui Makuu na Mifano Kamili
1. Uongozi Mbaya na Udikteta
2. Ufisadi na Unyakuzi wa Mali ya Umma
3. Nafasi ya Mwanamke na Taasubi za Kiume Katika Jamii
4. Matabaka, Ukabila, na Ubaguzi
5. Uwajibikaji na Ushirikishaji wa Umma (Public Participation)
6. Mbinu za Sanaa na Matumizi ya Lugha
1. Majazi
2. Jazanda (Sitiari Iliyofumbwa)
3. Methali
4. Kejeli na Dhihaka
5. Taswira (Picha za Kifikra) na Hisi
6. Nidaa, Maswali ya Balagha, na Takriri (Urudiaji)….

Uncategorized resources
Assessment books
Cbc Primary Schemes of work