Nguu za jadi dondoo na majibu set 1
KSh 100
Set 1 maswali 14 ya KCSE Nguu za jadi dondoo na majibu. 20 pages
Description
1. “Naweza kuoa wakati wowote na idadi yoyote ya wanawake.”
(a)Weka dondoo hili katika muktadha wake. (alama 4)
ď‚· Mnenaji:MrimaÂ
ď‚· Mnenewa:Mangwasha
ď‚· Mahali:nyumbani mwao.
ď‚· Ni baada ya Mangwasha kumsaili mumewe Mrima uhusiano wake naÂ
Sangilu.
(b)Tambua maudhui katika dondoo hili. (alama 4)
ď‚· Maudhui ya taasubi ya kiume…………

Uncategorized resources
Assessment books
Cbc Primary Schemes of work